Hosted by Health Professionals Entrepreneurship and Mentorship
CLINICAL NUTRITION & THERAPEUTIC Master Class
Ni darasa maalumu la online kwa “Health Professionals” (Wauguzi, Wakunga, Madaktari, Wafamasia, Public health professionals).
Utajifunza ni namna gani wewe kama Mhudumu wa Afya unaweza kusaidia wangonjwa kupitia ‘Lishe’ huku pia ukijiingizia kipato. Mada zitakazotolewa ni;
• Kanuni za kutengeneza therapeutic nutrition blends
• Lishe maalumu kwa watoto
• Lishe maalumu kwa wajawazito
• Nutritional support kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu
• Portion control and nutrient target
• Misingi ya pricing, packaging & compliance
• Virutubisho vya kupunguza makali na kupambana na saratani
• Virutubisho vya kupendezesha ngozi kwa njia asili (wajawazito pia wanatumia)
• Kupunguza maumivu ya viungo